Image
Image

Nyalandu:Serikali kwa ushirikiano na wadau tunadhamira ya kutokomeza ujangili



Waziri wa Maliasili na Utalii Mheshimiwa LAZARO NYALANDU amesema serikali itashirikiana na wadau ili kutokomeza ujangili katika hifadhi za taifa na misitu.

Ametoa ahadi hiyo kweye Hifadhi ya Selous wakati akipokea vifaa mbali mbali vya kukabiliana na ujangili kutoka Marekani na Ujerumani ambazo mabalozi wake hapa nchini wameahidi kuwa nchi zao zitaendelea kuisaidia Tanzania kupambana na ujangili.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment