Image
Image

Mwananzila:Atoa wiki tatu kwa watoto waliochaguliwa kidato cha kwanza kuripoti shuleni mara moja

Mkoa wa Tabora umetoa wiki tatu kwa watoto waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu kuripoti haraka shuleni vinginevyo watakumbwa na msako mkali utakaoendeshwa kuwatafuta.

Tamko hilo limetolewa na Mkuu wa Mkoa Bwana LUDOVICK MWANANZILA baada ya ziara ya wilaya ya Uyui na kubaini baadhi ya watoto hawajaripoti na kwamba msako huo pia utawakumba watoto watoro.







Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment