Image
Image

Polisi wazima mbio za majambazi za kutaka kuiba na kuua sita


Majambazi sita wamepigwa risasi na kufa usiku baada ya polisi kuzima mipango yao ya wizi katika eneo Membley, barabara ya Ruiru-Kahawa Jijini Nairobi.
Majambazi hao wote wanaume walikuwa kwenye gari aina ya saloon, iliyokuwa ikifuatiliwa na polisi ambapo mmoja wao aliyekuwa na silaha aina ya AK-47 alitoroka baada ya kulifyatulia risasi gari la polisi.
Afisa wa kitengo cha uhalifu amesema walipata taarifa kuwa majambazi hao walikuwa wanapanga kuweka kizuizi barabarani na kuwaibia wenye magari watakaopita barabara hiyo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment