Image
Image

Sambo mshauri ashauri uchaguzi uhairishwe Nigeria


Mshauri wa Usalama wa Nigeria Bw. Sambo Dasuki ameisihi tume ya uchaguzi ya nchi hiyo kuchelewesha uchaguzi mkuu ili kutoa fursa ya kusambazwa kwa kadi za wapiga kura.

Mkuu huyo wa Usalama Sambo Dasuki, Pia amesema nchi jirani ya Chad, itatuma kikosi chake kusaidia kupambana na wapiganaji wa Boko Haram ambao wanashikilia miji mingi na vijiji.

Uchaguzi huo ni wa kwanza kwa taifa la Nigeria, ambao unahitaji mpiga kura kuwa na kadi ya BIOMETRIC.

Nigeria inayokabiliwa na ghasiazinazotokana na machafuko yanayofanywa na kundi la Boko Haram, inatarajia kufanya uchaguzi wake Februari 14.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment