Image
Image

Watu 18 wamekufa katika mapigano baini ya polisi na waandamanaji Nchini Misri

Watu wapatao 18, wamekufa katika mapigano baini ya polisi na waandamanaji katika maeneo tofauti ya Misri.
Maafisa wa nchi hiyo wamesema miongoni mwa waliokufa ni maafisa polisi watatu, ambapo pia makumi ya waandamanaji pia wamejeruhuiwa

Mapigano hayo yamefuatia kifo cha mwanaharakati katika maandamano katika Jiji la Cairo siku ya jumamosi.
Maandamano hayo yaliitishwa kuadhimisha miaka minne ya vuguvugu la nguvu ya umma iliyomuondoa madarakani rais Hosni Mubarak mwaka 2011.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment