Image
Image

Breaking News:Chenge aweka tena pingamizi la kuto kujadiliwa na baraza la maadili ya Utumishi wa Umma Kuhusu sakata la uchotwaji wa mabilioni ya Shilingi akaunti ya Tegeta Escrow.


Mbunge wa Bariadi Magharibi ANDREW CHENGE amepinga tena kujadiliwa na Baraza la Sekretariet ya Maadili ya Utumishi wa Umma kuhusiana na kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow.
Hapo jana Baraza hilo lilishindwa kumhoji Bwana CHENGE baada ya kuwasilisha zuio la mahakama kuu lililozuia kutokuendelea kujadili miamala ya kashfa ya akaunti ya Tegeta Escrow.

Hivi leo Baraza hilo la Maadili lilisema hakuna zuio la mahakama kuu kuzuia kujadili maadili ya wahusika katika kashfa hiyo lakini Bwana CHENGE akatoa pingamizi lingine la kukata rufaa na kuruhusiwa na baraza.

Wakati Bwana CHENGE akikata rufaa Baraza la Maadili liliendelea kumjadili aliyekuwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa ANNA
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment