Image
Image

Chenge awasilisha zuio mahakama kuu la kuto kuhojiwa juu ya miamala ya Escrow


Baraza la maadili ya utumishi wa umma limeshindwa kumuhoji   Mbunge wa bariadi Magharibi (CCM) Mh Endrew Chenge baada kuwasilisha zuio la mahakama kuu lililozua kutokuendelea kujadili miamala ya Escrow huku wanasheria wa sekretarieti ya baraza hilo wakipingana naye kwa madai kuwa wao wanajadili ukiukwaji wa maadili na siyo miamala ya Escrow.
Kufuatia hali hiyo mwenyekiti wa baraza jaji mstaafu hamisi msumi ameahirisha sula hilo hadi feb 26 mwaka huu ili wajumbe wapate muda wa kusoma zuio hilo kujua kama baraza linaweza kuendelea na mahojiano au la.
Source:ITV
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment