Image
Image

Zaid ya watu 12 wamefariki kufuatia ndege waliokuwa wanasafiria nayo kugonga Daraja na kutumbukia kwenye mto mji mkuu - Taipei




Na. Mwandishi Wetu
Watu zaidi ya  12 wamekufa baada ya ndege ya Shirika la Ndege la Taiwan -  Trans - Asia ,    kugonga daraja na kutumbukia kwenye  mto jirani na mji mkuu wa nchi hiyo, Taipei.

Watu 58 walikuwemo kwenye ndege hiyo  iliyokuwa kwenye safari zake za ndani  na kwamba nusu ya  ndege hiyo imezama kwenye Mto  Keelung.

Waokoaji  wamekata  sehemu ya mkia ya ndege hiyo  kujaribu kuwaokoa watu kadhaa waliokwama ndani ya ndege hiyo.

Maafisa wa  Taipei   wanasema watu   16  wamejeruhiwa na waengine 30 hawajulikani walipo.

Ndege hiyo namba   ATR-72   iliondoka  uwanja wa ndege wa  Songshan   Mjini  Taipe i  ikiwa safarini kwenda Kisiwa cha  Kinmen  ndipo ilipokata mawasiliano na waongoza ndege .
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment