Image
Image

Idadi ya waliokufa kutokana na Mafuriko yaongezeka na kufikia 42 Mkoani Kahama

Watu 42 wamekufa na wengine zaidi ya 80 kujeruhiwa baada ya mvua ya mawe kunyesha jana usiku katika kijiji cha MWAKATA wilaya ya KAHAMA mkoani SHINYANGA.
Akizungumza kwa njia ya simu  Mkuu wa mkoa wa SHINYANGA, ALLY RUFUNGA amesema mazao katika mashamba yameharibiwa na mifugo kusombwa na maji.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment