Image
Image

Kampuni za HUAWEI na LG zazindua saa mpya za mkononizinazoweza kutumika kama simu


Kampuni za vifaa vya kielektroniki za HUAWEI na LG zimezindua saa za mkononi SMARTWATCHES zenye uwezo wa kutumika kama simu za mkononi aina ya SMARTPHONE.
Saa za LG zimetengenezwa kwa teknolojia za ADROID na HIGH END ONE na saa za HUAWEI zinatumia teknolojia ya ADRODI WEAR na saa hizo zinauwezo wa kupokea simu na kutuma ujumbe mfupi bila kuunganishwa na simu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment