Image
Image

Rais Obama aionya Nigeria kuacha vurugu wakati wa uchaguzi mkuu mwishoni mwa wiki hii.




Rais BARACK OBAMA ametoa wito kwa watu  wa Nigeria kuacha vurugu katika  uchaguzi mkuu wa nchi hiyo utakaofanyika mwishoni mwa wiki hii.


Rais OBAMA amesema Nigeria inapaswa kufanya u chaguzi ulio huru na wa haki na  bila ghasia za aina yoyote ile kwani watu wa napaswa kupiga kura zao bila ya  vitisho ama wasi wasi.

Kwa sababu hiyo ametoa wito kwa viongozi wote na wagombea kuzungumza na   wapiga kura wao kwamba vurugu hazina nafasi katika uchaguzi wa kidemokrasia.

Wasi wasi wa hali ya usalama imezidi k uongezeka Nigeria kadri siku ya  uchaguzi inavyokaribia huku kukiwa na mvut ano mkali kati ya Rais GOODLUCK  JONATHAN wa chama tawala cha PDP na mgomb ea wa upinzani wa chama cha APC  kiongozi wa zamani wa kijeshi Jenerali MUHAMMADU BUHARI.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment