Image
Image

Waandamanaji warejea mitaani katika jimbo la ferguson nchini Marekani

Makumi ya waandamanaji wamerejea tena mitaani katika jimbo la Ferguson, Missouri nchini Marekani siku moja tu baada ya polisi wawili wajeruhiwe na waandamanaji.

Mamlaka za jimbo hilo zimeendelea na msako mapema leo, wakati polisi wawili waliojeruhiwa kwa kupigwa risasi wakiruhusiwa kutoka hospitali.

Maandamano ya jana yaliyokuwa yakipinga vitendo vya ubaguzi wa rangi vinavyofanywa na jeshi la polisi, yalianza kwa amani, lakini baadae yaligeuka kuwa ya mapambano na polisi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment