Image
Image

Wanawake wengi duniani husumbuliwa na maradhi ya saratani ya matiti.


Watafiti wa kitivo cha tiba katika chuo kikuu cha Wroclaw nchini Poland wamefanikiwa kugundua jeni(Gene) inayozuia kuenea kwa seli za saratani ya matiti.
Saratani ya matiti husababishwa na kuongezeka kwa homoni ya prolaktini. Jeni hiyo iliyogunduliwa itazuia ongezeko la uzalishwaji wa homoni ya Prolaktini. Itazuia kuenea kwa saratani hiyo kutoka seli moja kwenda nyingine.
Tiba hiyo haijaanza kutumika katika vituo vya afya, utafiti bado unaendelea.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment