Image
Image

Watu watano wafariki dunia kwa kuchomwa na visu JAPAN

Watu watano wameuawa kwa kuchomwa visu katika mji wa  Magharibi  mwa Japan wa  Sumoto na vyombo vya habari vinasema muuaji amekamatwa.
Mtu huyo mwenye umri wa miaka 40 ambaye  kwa mujibu wa polisi hana kazi  ametajwa kwa jina la TATSUHIKO O  HIRANO na  alikutwa na nguo zenye damu na  mwenyewe amekiri kuua.
Haikujulikana mara moja kisa cha mauaji hayo ambayo polisi walikuta katika   nyumba moja miili ya wanawake wawili wenye  umri kati ya miaka 50 na 60 na  wanaume wa miaka 60.
Katika nyumba nyingine ya jirani ilikutwa miili ya wanandoa wenye umri wa   miaka themanini na muuaji mwenye ina semekana alikuwa anaishi kwenye  kitongoji hicho cha mji wa Sumoto ulioko  Kisiwa  cha Awaji.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment