Image
Image

News Alert: Ajali ya basi la Air Jordan laua mmoja na kujeruhi 20 Mkoani Nzega


Abiria mmoja amefariki dunia na wengine 20 kujeruhiwa huku wawili kati yao hali zao zikielezwa kuwa ni mbaya kutokana na ajali hiyo ambayo imehusisha basi la Air Jordan lililokuwa likitokea Mwanza kuelekea Dar,chanzo cha ajali ni Mwendokasi na ajali hiyo imetokea katika eneo la nzega mkoani Tabora.
Source:ITV.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment