Image
Image

News Alert:Silaha zilizokamatwa kwa wananchi wakati wa Operesheni tokomeza kurejeshwa kwa wamiliki.


Silaha 136  zilikamatwa kutoka kwa wananchi kwa tuhuma za  makosa   mbalimbali  wakati wa Operesheni Tokomeza na zitarejeshwa kwa wamiliki halali baada ya kukamilika kwa zoezila kuhakiki  linalofanywa naJeshi la Polisi.
Niabu  Waziri  wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mheshimiwa PEREIRA  AME SILIMA amesema hayo bungeni  wakati   akijibu  swali lililotaka kujua idadi ya silaha zinazomikiwana kutumiwa  kihalali .
Mheshimiwa SILIMA amesema  silaha   zilizopatikana  na kuhifadhiwa  katika   vituo  va polisi  wakati  wa operesheni hiyo ni  pamoja na  shotgun kumi na sita, rifle tano, bastola moja  na magobore mia moja na kumi na manne.
Uchunguzi  wa  awali   umebaini kuwa ni silaha kumi na sita tu yaani rifle nne na shotgun kumi na mbili  kati   ya  silaha  mia moja thelathini na sita zinamilikiwa kihalali na silizosalia zinaendelea  kufanyiwa  uchuguzi   na  jeshi la polisi  kuona kama zinatumiwa katika matukio ya uhalifu.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment