Image
Image

Sepp Blatter,anagombea kiti cha urais FIFA.


Rais wa shirikisho la soka duniani FIFA, Sepp Blatter,anagombea kiti cha urais katika uchaguzi wa shirikisho hilo unaotarajiwa kufanyika leo huko Zurich Uswisi.
Uchaguzi huo unaendelea katika kongamano la kila mwaka la shirikisho hilo licha ya shinikizo kutoka kwa wadau Blatter ajiondoe kufuatia tuhuma za ufisadi na ulaji rushwa katika shirikisho hilo uliopelekea maafisa wakuu saba kukamatwa mapema juma hili.
Blatter anakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa mwanmfalme kutoka Jordan Ali Bin al Hussein.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment