Image
Image

Kenzo ameshinda tuzo ya Bet ya ‘Viewer’s Choice Best New International Artist’ mwaka 2015

Msanii wa muziki wa Dance Hall kutoka Uganda Eddy Kenzo ameshinda tuzo ya Bet ya ‘Viewer’s Choice Best New International Artist’ mwaka 2015 kwenye tuzo zilizofanyika usiku wa jumapili ya 28 June 2015 kwenye ukumbi wa Microsoft Theatre huko Los Angeles Marekani.
Kenzo alikuwa akishindania tuzo hii na wasanii kutoka Afrika kusini  Cassper Nyovest, Ghana ‘Mz Vee’ na watatu kutoka Uingereza ‘George The Poet, MIC Lowry na Novelist.
Kwanini ameshinda, Video yake ya 2014 ‘Sitya Loss‘ ilitazamwa na watu milioni 7 ndani ya mwaka mmoja tu ikiwa ndio video iliyotazamwa zaidi nchini Uganda na yatano Afrika Nzima.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment