Image
Image

Hii ndio Video ikimuonesha Pdd alivyoteleza na kuanguka kwenye jukwa la Tuzo za BET 2015.

Wasnii wa Bad Boy Entertainment ya Puff Daddy walikuja pamoja kufanya show kwenye tuzo za BET 2015 kama kitendo cha kuonyesha nguvu ya muziki bado wanayo.
Kiongozi wa lebel hio Pdd alianguka kwenye shimo la jukwa hilowakati akifanya wimbo wa Notorious Big na msanii Lil Kim, ila kwa kuficha aibu na kupotezea Pdd aliendelea kufanya show kama kawaida.
Bofya hapa kuona.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment