Image
Image

Apandikizwa mikono Marekani.


Taarifa kutoka katika hospitali moja inayopatikana katika jiji la Philadelphia nchini Marekani zimefahamisha kuwa mtoto mmoja wa kiume mwenye umri wa miaka minane na anaetambulika kwa jina la Zion Harvey amefanyiwa ubandikizaji wa mikono na kundi la madaktari zaidi ya 35.
Ikiwa ni ya kwanza kabisa kufanyika ulimwenguni, operesheni ya upandikizaji huo imechukuwa muda wa masaa 10.
Zion Harvey mwenye asili ya Baltimore alikatwa miguu na mikono kutukana na maradhi yaliomsibu na kupandikizwa jigo miaka iliopita.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment