Image
Image

Breaking News:Polisi Dar wapambana na Majambazi 4 kwa kupora kiasi cha Fedha.

Mwanaume anayedhaniwa kuwa ni majambazi (PICHANI) akiwa mikononi mwa polisi baada ya kutiwa mbaroni katika Mnara wa Saa maeneo ya Stesheni Dar es Salaam leo mchana kwa madai ya kupora kiasi kikubwa cha fedha. Watu hao wanadaiwa kuwa walikuwa wanne.
           Kijana mwingine anayedaiwa kuwa ni jambazi akiwa amekamatwa.

Watuhumiwa hao wanne wa  ujambazi  wakiwa ndani ya Noah kabla ya kupelekwa Kituo Kikuu cha Polisi. Kulia ni askari Polisi.

Askari kanzu (katikati), ndiye anadaiwa kuwadhibiti majambazi hayo kabla ya kujificha chini ya uvungu wa taxi zinazoegeshwa jirani na Mnara wa Saa katika makutano ya barabara ya Uhuru, Samora na Nkruma.

Gari lenye namba T 976 BKK walilokuwa wakitumia majambazi hayo liondolewa eneo la tukio kupelekwa kituo kikuu cha polisi.
             Wananchi wakiwa eneo la tukio.>>>PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment