Image
Image

Katika Ubora wake-TAKUKURU ya mnasa mwenyekiti wa CCM akiwa na gari lenye pesa za kugawia wajumbe.


Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU wilayani Maswa mkoani Simiyu inamshikilia dereva mmoja aitwaye ,Seketure Kyaliga ambaye alikuwa akiendesha gari aina ya Noah lenye amba za usajili T281BCK ambalo lilikuwa na pesa za kugawia wajumbe wa chama cha mapinduzi.


Akiongea na waandishi wa habari  mkuu wa taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani simiyu,Adili Elinipenda amsema kuwa dereva huyo ambaye pia ni mratibu elimu kata ya nyangokolwa wilayani Bariadi, alikamatwa majira ya saa tano usiku katika kijiji cha nguliguli wilayani maswa akiwa anaendesha gari hilo ambalo baada ya kulikagua walikuta pesa kiasi cha shilingi laki nne zenye noti mpya za elfu mbilimbili.->>Bofya Hapa kusoma zaidihttp://bit.ly/1haJqdz
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment