Image
Image

Mdau John Chacha ampongeza Dkt. John Magufuli kwa ushindi wa kuipeperesha bendera ya ccm kuwania urais Octoba mwaka huu 2015.


Mgombea uraisi kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi -CCM Dkt John Magufuli  akipongezwa na mwandishi mwandamizi wa kituo cha ITV na Radio one John  Chacha siku chache kabla ya Dkt Magufuli kuchukuwa fomu ya kutia nia kugombea nafasi ya Urais kupitia chama cha CCM,ambapo aliagana na  mwandishi huyo akiwa njiani kuelekea mikoa ya Geita,Mwanza na Kagera. Pichani ilikuwa ni nje ya ofisi za CCM makao makuu mjini Dodoma,John Chacha  anamtakia kila lakheri na afya njema katika safari yake ya kuipeperusha  bendera ya chama chake katika kuwania nafasi ya Urais katika uchaguzi  Mkuu utakaofanyika hapo baadae mwaka huu 2015.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment