Image
Image

Polisi wawili na magaidi wawili wauawa mkoani Adana.


Kituo cha usalama katika taraf aya Pozanti mkoani Adana kilivamiwa na magaidi wawili waliokuwa na silaha na kuwauwa askari polisi wawili.
Taarifa zinafahamisha kuwa magaidi hao waliuawa pia baada ya kupambana na Polisi.
Polisi mkoani Adana imefahamisha kuanzisha operesheni kali ili kuwakamata wahalifu wengine walioshirikiana na magaidi hao.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment