Image
Image

Walowezi wa kihayudi watuhumiwa kumchoma moto mtoto wa kipalestina.


Madaktari walifahamisha kuwa Mtoto wa kipalestina ameuawa siku ya İjumaa baada ya kuchomwa moto kufuatia shambulizi lililodaiwa kutekelezwa na wayahudi katika kijiji kilichopo karibu na mji wa West Bank.
Mkurugenzi wa hospital ya Rafedia Abed Al Rahim, aliifahamisha shirika la Anadolu kuwa “Ali Saeed Dawabsheh,alichomwa moto katika shambulizi lililofanywa na wayahudi katika nyumba iliyokuwa katika kijiji cha Duma mjini West Bank kusini mwa Nablus. 
Shambulio hilo pia liliathiri familia tatu,familia hizo zilikwenda hospital kwa ajili ya matibabu kufuatia kuunguzwa na moto huo.
Afisa wa ardhi wa kipalestina Ghassan Daghlas, alitoa taarifa ya shambulio hilo kuwa lilitekelezwa na wanajeshi wa kiyahudi wanaojulikana kama “Price Tag.”
Ghassan Daghlas, aliendelea kusema kuwa kundi hilo lilishambulia nyumba mbili katika kijiji hicho.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment