Image
Image

TATOA-Sheria mpya ya kodi ni kikwazo katika sekta ya usafirishaji.


Chama cha wamiliki  wa Malori-Tatoa kimesema sheria mpya ya kodi ambayo imeanza kutumika July Mosi ni kikwazo kwao kuweza kushindana na nchi nyingine za Afrika ya mashariki katika sekta ya usafirishaji.

Afisa mtendaji mkuu wa chama hicho Elitumu Malamia amesema sheria hiyo mpya  ya kodi imekuwa na vipengele vingi ambavyo siyo rafiki kwao kulinganisha na sheria za kodi zinazotumika katika nchi nyingine wanachama wa jumuiya ya Afrika ya Mashariki.

Naye mwanasheria  wa kujitegemea Geasi Mwaipaja amesema wadau  wa masuala ya kodi wanapaswa kutambua kuwa utekelezaji  wa kila sheria una changamoto zake licha ya kwamba lengo kuu ni kujenga na siyo kubomoa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment