Image
Image

News Alert:Wanafunzi 3 wadaiwa kufariki baada ya kugongwa na gari la Polisi*Wananchi wafunga Barabara.


Wananchi wa eneo la misusugu mkoani Pwani wamefunga barabara baada ya wanafunzi wa kike 3 kudaiwa kugongwa na gari la Jeshi la Polisi mkoani humo na kufariki dunia,hivyo kusababisha Wazazi,Walezi na Wanafunzi katika eneo hilo kufunga barabara kwa kuandamana.

Taarifa toka eneo la tukio zinaeleza kwamba hali ni mbaya katika eneo hilo kutokana na msongamano mkubwa wa magari kuzuiliwa na wananchi hao wenye hasira kali na polisi wanatumia mabomu kuwatawanya waandamanaji hao.
Taarifa Zaidi itawajia muda si Mrefu.


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment