Image
Image

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho za mabalozi wapya wa Finland na Sweden ikulu jijini Dar es Salaam.

Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akisanini kitabu cha wageni alipowasili Ikulu jijini Dar es salaam kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka baada ya kuwasilisha hati za utambulisho akiongea na Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015.
Balozi mpya wa Finland nchini Bw. Pekka Hukka akipigiwa nyimbo za taifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden Bi. Katrina Rangnitt nchini akiweka saini kitabu cha wageni kabla ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi.Katrina Ranngitt  akisalimiana na Naibu Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt  akiwa katika mazungumzo na  Rais Jakaya Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
Balozi mpya wa Sweden nchini Bi. Katrina Ranngitt akisindikizwa na Mnyikulu wa Ikulu Bw. Jumaa Bwambo  baada ya kuwasilisha hati za utambulisho kwa Rais Jakay Mrisho Kikwete Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2015
PICHA NA IKULU
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment