Image
Image

Ngassa:Kamati ya Stars iwe makini,tutaitoa Algeria.

Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mrisho Khalfan Ngassa amesema inawezekana kuitoa Algeria kama kutakuwa na maandalizi mazuri.
Katika taarifa yake kutoka nchini Afrika Kusini Ngassa amesema Kamati zilizoundwa zinapaswa kufanya shughuli zake vizuri na kwa umakini ili malengo yatimie.
Tanzania itacheza mara mbili na Algeria ndani ya siku tatu nyumbani na ugenini kuwania nafasi ya kupangwa kwenye makundi ya kuwania tiketi ya kucheza Kombe la Dunia mwaka 2018 Urusi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment