Image
Image

Kampeni za uchaguzi mdogo katika jimbo la Ludewa kufanyika Desemba 20 mwaka huu.

Kampeni  za uchaguzi mdogo katika jimbo la Ludewa  mkoani Njombe  zilizosimamishwa  kutokana na kifo cha aliyekuwa mgombea  ubunge wa jimbo hilo DEO FILIKUNJOMBE  zimeanza  na uchaguzi  unatarajiwa  kufanyika Desemba 20 mwaka huu.
Ushindani mkubwa unatarajiwa kuwepo kati ya mgombea wa Chama  cha  Demokrasia  na  Maendeleo CHADEMA Bwana MSAMBICHAKA  MKINGA  na DEO NGALAWA  wa Chama   Cha  Mapinduzi.
Wakizunguza kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika  katika kijiji cha Lupingu  wilayani Ludewa baadhi  ya viongozi wa Chama Cha Mapinduzi wilayani humo wamewataka wananchi wakichague ili kisaidie kuchochea maendeleo yao.

Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment