Image
Image

Askari sita wa Marekani wameuawa baada ya kulipukiwa na bomu nchini Afghanistan.



Askari sita wa Marekani wameuawa baada ya kulipukiwa na bomu nchini Afghanistan wakiwa katika doria kwenye moja ya maeneo ya katikati ya mji mkuu wa nchi hiyo Kabul.
Mkuu wa shughuli za Jeshi la Umoja wa kujihami nchi za Magharibi -NATO  Brigedia Jenerali Wilson Shoffner amesema mbali ya wanajeshi hao sita kuuawa wengie watatu pia walijeruhiwa katika tukio hilo.
Wakati,Nato ikisema watu waliouawa katika tukio hilo ni sita kikundi cha wapiganajui wa Taliban nacho kimetoa taarifa  yake kuhusiana na tukio hilo na kusema kuwa waliouwa ni 19 na wala siyo 6.
Nchi ya Afghanistan kwa miaka kadhaa sasa  imekuwa na hali tete ya amani na imekuwa ikitumika kama kificho cha vikundi vya kigaidi ambavyo vimekuwa vikifanya uasi katika nchi mbalimbali duniani.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment