Image
Image

Pulse:Wimbo wa Korede Bello ‘GodWin’ ndio wimbo wenye mafanikio Nigeria.

Wimbo wa Korede Bello ‘GodWin’ umetajwa na mtandao wa Pulse Nigeria kuwa ndio wimbo mkubwa zaidi na wenye mafanikio zaidi Nigeria mwaka 2015.
Wimbo huu umekuwa mkubwa Nigeria na Africa sababu unamlenga mwananchi wa daraja la chini kabisa,yule anaye mtegemea Mungu kwenye kila jambo na hana aibu ya kuonyesha kuwa mafanikio na maisha yake yanaendeshwa na nguvu za Mungu.
Kila unachofanya kama kimefanikiwa basi GodWin.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment