Upungufu wa damu mwilini hili ambalo huweza kumtokea mtu yeyote
katika maisha yake, lakini tatizo hili si ajabu kabisa kumpata mama
wajawazito.
Dalili kwa upungufu wa damu mwilini
1. Kusikia kizungu zungu
2. Kukosa nguvu
3. Kubadilika rangi ya mwili kuwa mweupe kuliko kawaida , utaona viganjani,kwenye kucha ,macho na ulimi
4, Kukosa umakini wa kuona vizuri
5, Mapigo ya moyo Kwenda mbio
6, kushindwa kupumua vizuri
7, Kuvimba miguu
Miongoni mwa madhara yanayoweza kumkumba mama mwenye tatizo hili ni
pamoja na kumuweka hatarini mama mjamzito ya kupoteza uhai wake pindi
ajifunguapo, hii ni kwasababu zoezi zima la kujifungu linahitaji damu
ya kutosha ,jambo ambalo pia humwadhiri mtoto tumbon.
Hata hivyo kuna baadhi ya vitu ambavyo mama anaweza kutumia ili
kuongeza damu kwa haraka zaidi mojawapo ni juisi ya kiazi kikuu au
'beetroot juice' ambayo hupandisha kiwango cha damu kwa haraka sana.
Kwa maelezo na ushauri zaidi unaweza kuwasiliana na Tabibu
Abdallaha Mandai kwa simu namba 0716 300 200, 0784 300 300, 0769 400 800
au barua pepe dkmandaitz@gmail.com.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment