Kim Kardashian na mume wake Kanye West wamefanya maamuzi magumu ya
kutotafuta mtoto mwingine baada ya Kim kujifungua kwa shida tena kwa
mara ya pili.
Kim na Kanye West wamepata mtoto wao wa pili wiki chache zilizopita na kumuita Saint.
TMZ imeripoti kuwa Kim Kardashian amekuwa akipata tatizo la Placenta Accreta
ambalo huleta maumivu makali sana na husababisha mama kupoteza damu
nyingi pale anapotaka kujifungua na hii huhatarisha maisha ya mama na
mtoto. Kim alipata tatizo hili mwaka 2013 alipojifungua mtoto wao wa
kwanza ‘North West’.
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment