Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri na Naibu
Mawaziri katika kikao cha kwanza cha kazi cha Baraza la Mawaziri
alichokiitisha Ofisini kwake jijini Dar es salaam Desemba 15, 2015.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,
Jenista Mhagama wakati alipomkaribisha kuzungumza katika kikao cha
kwanza cha baraza la kazi la Mwaziri, Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Desemba 15,2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment