Image
Image

Watu 14 wafariki katika shambulio la kujitoa muhanga Mashariki mwa Afghanistan.


Watu 14 waripotiwa kufariki katika shambulio la kujitoa muhanga lililotekelezwa dhidi ya mkutano wa viongozi na wawakilisha wa makabila tofauti Jalalabad.
Wanamgambo wa Taliban wamekanusha kuhusika na shambulio hilo.
Watu wengine 13 ndio waliojeruhiwa katika shambulizi hilo.
Taarifa hiyo imethibitishwa na msimamizi wa kituo kimoja cha afya alietambulika kwa jina la Najibullah Kamawal.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment