Image
Image

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akutana na kuzungumza na watanzania waishio BOTSWANA.

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkuatano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016.

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Watanzania waishio Botswana baada ya kuhudhuria mkutano wa SADC mjini Gaborone Januari 18, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment