Image
Image

Polisi mmoja na raia 7 wauawa kwenye mashambulizi ya bomu katika mji mkuu wa Baghdad.


Polisi mmoja na raia 7 wameripotiwa kuawa kufuatia mashambulizi ya bomu yaliyotekelezwa katika mji mkuu wa Baghdad nchini Iraq.
Watu 26 pia wameripotiwa kujeruhiwa kwenye mashambulizi hayo.
Shambulizi la kwanza lilitekelezwa kwa kutumia bomu lililokuwa limetegwa katika barabara iliyopo kwenye kitongoji cha Firat, eneo la Ed-Devre na kusababisha vifo vya watu 6 na majeruhi 22.
Katika eneo hilo hilo, mlipuko mwengine wa bomu ulitokea wakati gari la polisi waliokuwa wakishika doria likipita na kusababisha polisi mmoja kufariki na wengine 4 kujeruhiwa.
Wakati huo huo, vikosi vya usalama vya Iraq vinaarifiwa kukabiliana na kundi la kigaidi la DAESH katika mji wa Ramadi ambapo mpaka sasa wanawake na watoto zaidi ya elfu 250 wameweza kuokolewa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment