Image
Image

Watu wanne wamefarikia baada ya kutupiwa guruneti mjini Bujumbura.


Watu wanne wameripotiwa kufariki baada ya kutupiwa bomu la kurusha kwa mkono katika kitongoi cha Kinama mjini Buumbura katika usiku wa Jumamosi kuamkia Jumapili.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na meya wa jiji la Bujumbura Freddy Mbonimpa, mabomu matatu yalirusha katika kitongoji cha Kinama na kusababisha vifo vya watu wawili akiwemo mtoto mdogo mwenye umri wa miaka 12 aliekuwa akiuza mayai.
Watu wengine kadhaa wameripotiwa kujeruhiwa ma kupelekwa hospitali ili kupewa matibabu.
Mtaani Musaga kumeripotiwa pia kurushwa kwa guruneti dhidi ya Polisi na kuwajeruhi watu wanane.
Hakuna kundi lolote limejinasibu kuhusika na shambulio hilo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment