Image
Image

Mvulana wa miaka 16 aliyekuwa akipanga Mashambulio katika sikukuu ya wanajeshi ashitakiwa.


Polisi nchini Australia wamemshtaki mvulana mwenye umri wa miaka 16, ambaye anasemekana alikuwa akipanga kutekeleza shambulio katika siku kuu ya wanajeshi wastaafu wa nchi hiyo.
Mvulana huyo alitiwa mbaroni nyumbani kwake huko Sydney, alipodaiwa kupanga kutekeleza uhalifu huo wa kigaidi leo Jumatatu wakati wa sherehe za siku kuu ya ANZAC, ya maadhimisho hayo ya kuwakumbuka wanajeshi waliouawa vitani Australia.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment