Image
Image

Rais wa Misri amewaomba raia wa taifa hilo kulinda taifa, kabla ya kufanyika kwa maandamano.


Rais wa Misri, Abdul Fattah al-Sisi, amewaomba raia wa taifa hilo kulinda taifa, kabla ya kufanyika kwa maandamano makubwa ya kuipinga serikali ya nchi hiyo, baadaye leo Jumatatu.
Bw Sisi anasema kuwa jitihada za kuyumbisha amani nchini Misri, hazitafua dafu, ikiwa tu raia wa taifa hilo watasimama kidete.
Uhasama dhidi ya serikali umeongezeka majuzi baada ya utawala wa nchi hiyo kuipa Saudi Arabia visiwa viwili vilivyoko katika eneo la Bahari ya Sham.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment