Image
Image

Rais Magufuli awaapisha Makatibu Tawala wa Mikoa Ikulu jijini Dar es Salaam.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli amewaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.
Makatibu Tawala hao wameapishwa leo tarehe 27 Aprili, 2016 Ikulu Jijini Dar es salaam na kisha wametia saini hati ya ahadi ya uadilifu kwa viongozi wa umma, zoezi lililoendeshwa na Kamishna wa maadili Sekreatieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, Mheshimiwa Jaji Salome Kaganda na kushuhudiwa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi.
Makatibu Tawala walioapishwa ni;
1.    Arusha -    Richard Kwitega
2.    Geita -     Selestine Muhochi Gesimba
3.    Kagera -     Armatus C. Msole
4.    Kilimanjaro -    Eng. Aisha Amour
5.    Pwani -     Zuberi Mhina Samataba
6.    Shinyanga -     Albert Gabriel Msovela
7.    Singida -    Dr. Angelina Mageni Lutambi
8.    Simiyu -    Jumanne Abdallah Sagini
9.    Tabora -    Dkt. Thea Medard Ntara
10.    Tanga -    Eng. Zena Said
Makatibu Tawala wengine wa Mikoa ambao hawakuapishwa leo, ni wale waliohamishwa vituo vya kazi na wale waliobaki katika vituo vya kazi walivyokuwep,o ambao tayari walishakula kiapo cha kuwa Katibu Tawala wa Mkoa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha ndugu Albert Gabriel Msovela kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Shinyanga Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha ndugu Amantius Casmiri Msole kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  akimuapisha Dkt. Angelina Mgeni Lutambi kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Singida Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimuapisha Eng. Aisha Salim Amour kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Kilimanjaro Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli   akimuapisha Eng. Zena Ahmed Said kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Tanga Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli    akimuapisha Ndugu Jumanne Abdallah Sagini  kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Simiyu  Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli    akimuapisha Ndugu Richard Nkingwa Kwitega  kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha  Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli    akimuapisha Ndugu Selestine Muhochi Gesimba kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Geita Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli    akimuapisha Ndugu Zuberi Mhina Samataba kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani  Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli    akimuapisha Dkt. Tea Medard Ntara Zena kuwa katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora  Ikulu jijini Dar es salaam April 27,2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Makamu wa rais na katibu mkuu kiongozi katika picha ya pamoja baada ya kuwaapisha Makatibu Tawala wapya kumi aliowateua tarehe 25 Aprili, 2016 na kuwapangia vituo vyao vya kazi.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment