Image
Image

CLINTON anaelekea kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mgombea urais wa Marekani.

Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Marekani Bibi HILLARY CLINTON anaelekea kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mgombea urais wa Marekani.
Hiyo imejitokeza baada ya kumalizika upigaji kura za mchujo wa uteuzi wa wagombea urais wa Marekani katika majimbo matano ya kaskazini-mashariki mwa Marekani.
Matokeo yanaonyesha kuwa mgombea wa Chama cha Republican Bwana DONALD TRUMP ameshinda majimbo yote ya Connecticut, Delaware, Maryland,Pennsylvania na Rhode Island.
Naye mgombea wa Chama cha Democrat B HILLARY CLINTON amemzidi mpinzani wake BERNIE SANDERS licha ya mpinzani wake huyo kupata ushindi katika jimbo la Rhode Island.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment