Image
Image

Watu 11 wakiwamo wanajeshi wanane wameuawa kwa kupigwa risasi Cape Verde.

Watu 11 wakiwemo wanajeshi wanane wameuawa kwa kupigwa risasi katika visiwa vya Cape Verde kando ya pwani ya kaskazini-magharibi mwa Afrika Magharibi.
Katika taarifa yake Waziri wa Mambo ya Ndani wa Visiwa hivyo Bwana PAULO ROCHA amesema watu hao waliuawa k
wenye eneo la mawasiliano ya simu la Monte Tchota na kukanusha kwamba waliuawa kwenye makambi ya jeshi baada ya kushambuliwa.
Ameeleza kuwa eneo walilouawa ni la msitu wa kisiwa cha Santiago kiasi cha kilomita 27 kaskazini ya mji mkuu wa visiwa hivyo Praia.
Waziri huyo amesema askari aliyepewa jukumu kuongoza msafara huo wa kijeshi hajaonekana na kuna wasi wasi hu
enda alihusika na tukio hilo ikifahamika nchi hiyo inapambana na magenge ya walanguzi wa dawa za kulevya kutoka Amerika ya Kusini.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment