Image
Image

Rais wa Brazil asema atapigania Brazil iondolewe kwenye muungano.

Rais DILMA ROUSSEFF wa Brazil amesema ataweza kuomba Umoja wa Nchi za Amerika ya Kusini kusimamisha uanachama wa nchi hiyo iwapo ataondolewa madarakani.
Bi.ROUSSEFF amerudia mara kwa mara kwamba mchakato wa mahasimu wake  kumuondoa madarakani yalikuwa ni mapinduzi ya kisiasa.
Anatuhumiwa kubadili takwimu za bajeti ya nchi hiyo kabla ya kuchaguliwa kwake mwaka 2014 lakini amekanusha kufanya kosa lolote.
Umoja huo una kifungu cha kuchukua hatua iwapo serikali iliyochaguliwa ya nchi mwanachama itapinduliwa na kusababisha nchihiyo kuwekewa aina mbali za    vikwazo vikiwemo vya biashara.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment