Image
Image

Sudan Kusini imesema kiongozi wa waasi wa nchi hiyo RIEK MACHAR hawezi kurejea Juba.

Sudan Kusini imesema kuwa kiongozi wa waasi wa nchi hiyo Bwana RIEK MACHAR hawezi kurejea Juba, mji mkuu wa nchi hiyo hii leo.
Waziri wa Habari wa nchi hiyo amesema serikali itatoa tu kibali kwa ndege itakayomchukua Bwana MACHAR baada ya uangalizi kubaini kiasi cha silaha za wasaidi wake watakuwa wamechukua.
Bwana MACHAR kwa sasa yuko nchini Ethiopia.
Hapo jana Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Bwana BAN KI-MOON alimtaka Bwana MACHAR kurejea Sudan ya Kusini bila kuchelewa.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment