Image
Image

Mama yake na hayati Tupac Shakur Afeni Shakur Davis amefariki dunia.

Mama yake na hayati Tupac Shakur Afeni Shakur Davis amefariki dunia KUFUATIA mshtuko wa moyo Jumanne kabla ya kupelekwa hospitali kwaajili ya kupatiwa matibabu na hivyo kupoteza maisha kabla ya saa nne na nusu usiku.Shakur, aliyezaliwa kwa jina la Alice Faye Williams, alibadilisha jina lake baada ya kuhamia New York City na kujiunga na vugu vugu la Black Panther.
Tupac aliwahi kumuimbia mama yake huyo kwenye wimbo ‘Dear Mama’ wa mwaka 1995 akielezea shida za utotoni na alivyomheshimu mama yake.
“There’s no way I can pay you back/But the plan is to show you that I understand/You are appreciated,” alirap Tupac.
Mama yake na hayati Tupac Shakur Afeni Shakur Davis Alikuwa na umri wa miaka 69.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment