Image
Image

Nay wa Mitego kuachia Video yake mpya ya SakaHela 9 May 2016.

Rapa Nay wa Mitego baada ya kufanya vizuri na wimbo ‘Shika Adabu Yako’, Jumatatu ijayo anatarajia kuachia wimbo mpya uitwao ‘Saka Hela’.
Nay amesema mara nyingi amekuwa akionyesha mali zake pamoja na pesa ili kuwatia machugu vijana ya kutafuta pesa.
“Tarehe 9 ya mwezi huu, i mean Jumatatu ijayo nitaachia rasmi video yangu mpya ya ‪wimbo ‘SakaHela’,kaa tayari kwenye runinga yako. Saka Hela ni wimbo ambao unatoa majibu kwanini mara nyingi nimekuwa nikionesha mali zangu, kwa hiyo mashabiki wakae mkao wa kula kuona kigongo kingine,” alisema Nay.
Nay ni mmoja kati ya wasanii ambao wanaweza kucheza na hisia za mashabiki wake kutokana namna ya utunzi wa mashairi yake ambayo huwashika mashabiki.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment