Image
Image

KIKOSI CHA OLIMPIKI BRAZIL:NEYMAR,RAFINHA NA DOUGLAS COSTA WAMO.

Neymar,Rafinha na Douglas Costa wametajwa katika kikosi cha Brazil kitakachoshiriki michezo ya Olimpiki.
Kama ilivyotarajiwa baada ya kuachwa nje ya kikosi kilichoshiriki michuano ya Copa America Centenario, mshambuliaji huyo wa Barcelona Neymar ni moja ya wachezaji wa tatu wenye umri zaidi ya miaka 23 katika timu ya taifa ya Brazili.
Wachezaji wengine wawili ni mshambuliaji wa Bayern Munich Douglas Costa na golikipa mwenye umri wa miaka 37 Fernando Prass.
Kikosi kamili cha Olimpiki cha Brazil:
Makipa: Fernando Prass (Palmeiras), Uilson (Atletico Mineiro).
Walinzi: Luan (Vasco da Gama), Rodrigo Caio (Sao Paulo), Marquinhos (Paris-Saint Germain), Douglas Santos (Atletico Mineiro), Zeca (Santos), William (Internacional).
Viungo: Rafinha (Barcelona), Rodrigo Dourado (Internacional), Fred (Shakhtar Donetsk), Thiago Maia (Santos), Felipe Anderson (Lazio).
washambuliaji: Neymar (Barcelona), Douglas Costa (Bayern Munich), Gabriel Barbosa (Santos), Gabriel Jesus (Palmeiras), Luan (Gremio).
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment