Image
Image

Scotland:Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya hakujaidhinishwa na Bunge.

Waziri mkuu wa Scotland Bibi Nicola Sturgeon amesema Scotland itajitahidi kuizuia Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya.
Bibi Sturgeon amesema
Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya kunahitaji kuidhinishwa na bunge la nchi hiyo, na wabunge wa chama cha taifa cha Scotland anachokiongoza watakataa makubaliano hayo.
Share on Google Plus

Kuhusu TAMBARARE HALISI

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment